Machapisho

Hadithi ya Maalim Kisisina: Simulizi ya Jadi na Mafunzo Yake

Makala hii inasimulia hadithi ya mapokeo kuhusu Maalim Kisisina kama inavyosimuliwa mitaani na katika vikao vya hadithi Afrika Mashariki. Ni simulizi ya jadi, si historia iliyothibitishwa, na haitokani na Qur'an wala Hadith sahihi. Tunaileta hapa kwa ajili ya kujifunza hekima yake, si kama ukweli wa kidini. Kisisina ni nani katika simulizi? Katika hadithi za mapokeo, Maalim Kisisina anaelezwa kuwa tabibu na mtaalamu mashuhuri wa elimu za siri aliyeishi zamani sana. Baadhi ya wasimulizi husema alikuwa jini, wengine husema alikuwa mwanadamu aliyejaaliwa elimu kubwa. Watu na viumbe wengine walimwendea kutafuta msaada wa shida zao, na sifa yake ikaenea kila mahali. Simulizi inaeleza kwamba aliandika elimu yake polepole ndani ya kitabu kimoja kikubwa, mpaka kikawa kamili. Kadiri umaarufu wake ulivyokua, ndivyo watu walivyoanza kumtegemea yeye kuliko Muumba wao. Hapa ndipo hadithi inapogeuka. Mgeni aliyebisha hodi Kwa mujibu wa simulizi, siku moja mgeni alifika kwa Kisisina na k...

Manifestation Through Walking (Kumanifest Jambo kwa Kutembea)

Picha
Manifestation through walking ni njia rahisi ya kudhihirisha malengo yako kwa kuunganisha mwili, pumzi na nishati ya ardhi kupitia kutembea peku. Njia hii ya manifestation inakusaidia kuunganisha na Mother Nature na kuongeza nguvu ya kiroho. Mwanafunzi na Mwalimu Mwanafunzi: Mwalimu ni Amali gani iliyo pure yenye faida zaidi ambayo naweza kufanya bila ingredients na kablasha zingine. Mwalimu: Manifestation. Mwanafunzi: Sasa hii mwalimu sindio zile zile utaanza kusema sema maneno?. Mwalimu: Umetaka simple na pure hivyo nielewe hapa. Si kila manifestation ni lazima utegemee chanting kuna muda chanting (Nyiradi) inajitegemea pia na manifestation (Kudhihirisha) kunajitegemea pia. Sasa kwa hapa fuata hatua hizi ambazo ni sehemu zako za maisha kila siku lakini unazienda kitofauti na mazoea yako ya kila siku. HATUA ZA KUFUATA Nenda popote ambapo ni tulivu au sehemu watu wanatumia kufanya mazoezi hususani ya kutembea Hakikisha sehemu hiyo inakuruhusu kuwa peku mfano (K...

Jinsi ya Kujua Yajayo Kabla Hayajatokea | Siri ya Precognition na Dejavu

Picha
Kujua Jambo Kabla Halijatokea? Daftari la Ndoto na Hisia Andika ndoto au hisia kali mara unapoamka, pamoja na tarehe. Usizitafsiri mara moja. Kila mwezi, pitia daftari na uweke alama kwa yaliyotokea kweli. Utaona kama ni bahati, mazoea ya akili au kipaji halisi. Tahadhari Muhimu Ndoto nyingi za mabaya ni hofu na msongo wa mawazo, si utabiri. Usifanye maamuzi makubwa (ndoa, biashara, kuachana) kwa ndoto moja tu. Ukisikia sauti zinazokutisha au kukuamrisha mambo, mwone daktari. Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara Déjà vu ni nini kisayansi? Ni hisia fupi kwamba tukio limeshawahi kutokea. Wanasayansi huihusisha na jinsi ubongo unavyohifadhi kumbukumbu; ni kawaida kwa watu wengi. 📖 Read also: Precognition: Sensing the Future Yawezekana umewahi kusikia au kukutana na mtu anayesema aliwahi kuona jambo kabla halijatokea. Inaweza kuwa ni wewe mwenyewe au rafiki yako. Na ukichunguza, baada ya muda jambo hilo hutokea kweli. Kujua hivyo ni moja kati ya nguvu za kiroho ambazo kila...

Meditation ni Nini? Maana, Faida na Umuhimu Wake kwa Maisha

Picha
Meditation ni Nini? Meditation ni nini? Meditation ni hali ya utulivu wa akili na mwili ambapo mtu huweka uzingativu wake kwenye jambo moja kama pumzi, neno (mantra) au hali ya sasa ili kupata amani, umakini na uelewa wa ndani. Tazama aina tofauti za meditation ili ujue ipi inakufaa kabla ya kuanza. Unajiuliza meditation ni nini? Hapa utajifunza maana yake, faida zake na umuhimu wake katika maisha ya kila siku. Mfano wa meditation kwa wanaoanza unaoonyesha utulivu wa akili na mwili Je, unataka kujua jinsi meditation inaweza kubadilisha maisha yako? Endelea kusoma 👇 Meditation ni muhimu kwa nani? Meditation ni muhimu kwa mtu yeyote anayetaka utulivu wa akili, kupunguza stress na kuboresha maisha yake ya kila siku. Maana ya Meditation Neno meditation limetokana na neno la kilatini 'meditatio' likiwa na maana ya mazoezi ya mwili, akili na roho. Asili ya meditation ni dini za mashariki, ilianzia Asia zaidi ya miaka 5,000 iliyopita na s...

Jinsi ya Kuanza Meditation ya Mwili (Mwongozo Kamili kwa Wanaoanza)

Picha
Jinsi ya Kuanza Meditation ya Mwili Mwongozo kamili wa hatua kwa hatua kwa wanaoanza Unataka kujua jinsi ya kuanza meditation ya mwili? Katika mwongozo huu utajifunza hatua kwa hatua namna ya kufanya meditation, faida zake, na jinsi ya kuunganisha mwili wako na akili kwa usahihi. 🧘 Meditation huanza na maandalizi ya mwili, akili na roho. Misingi ya Kuanza Kimwili – mwili uwe tayari Kiroho – uwe na utulivu wa ndani Kiakili – akili iwe wazi na relaxed Meditation ni mazoezi ya kila siku. Si kitu cha kufanya mara moja na kuacha. Meditation ya Mwili Hii ni hatua ya kwanza ambapo unajenga mawasiliano kati yako na mwili wako. Faida zake ni pamoja na: Afya bora ya mwili Kuondoa stress Kuimarisha kinga Kuongeza nguvu ya mwili Kuondoa sumu mwilini Hatua za Kuanza Kaa katika mazingira tulivu Kaa katika mkao sahihi Pumua taratibu Achilia mawazo bila kulazimisha Fanya kila siku bila kuruka Funguo za Meditation USILAZIM...

Kusomewa Karata na Uchambuzi wa Maisha | Rakims Spiritual

Picha
Kusomewa Karata na Uchambuzi wa Maisha Mwongozo wa huduma za uchambuzi binafsi na maelezo ya bei Unahitaji uchambuzi wa maisha yako binafsi? Kupitia huduma za Rakims Spiritual, unaweza kupata muongozo kwa mambo mbalimbali ya maisha yako kwa njia ya nyota, karata, shikeli au kiganja. Rakims Spiritual Huduma Zetu Tutakuangalizia maisha yako kwa ujumla kupitia njia ya Nyota, Karata (Tarot Reading), Shikeli au Kiganja (Palmistry). Na mengineyo ambayo utahitaji huenda hayajaorodheshwa hapa unaweza kuuliza: Bahati yako na mwili wako — 10,000/Tsh Kipato chako vyanzo vya pesa — 10,000/Tsh Mawasiliano yako, Ndugu zako na jamii — 10,000/Tsh Nyumba yako na Mizimu ya kwenu na mizani 2 — 15,000/Tsh Kizazi chako na Mali yako muongozo wa kupata — 15,000/Tsh Maradhi / Afya yako / Huduma yako — 10,000/Tsh Mahusiano / Ndoa yako — 20,000/Tsh Kama umelogwa, umefungwa, una majini, n.k — 10,0...

Cosmic Energy ni Nini? Maana, Faida na Jinsi Inavyokuathiri Maishani

Picha
Cosmic Energy ni Nini? Cosmic Energy ni nini? Cosmic Energy ni nguvu ya kiroho inayopatikana kila mahali mwanadamu yupo. Ni nguvu inayounganisha vitu vyote katika ulimwengu. Unajiuliza kuhusu Cosmic Energy? Hapa utajifunza maana yake, faida zake na jinsi inavyoweza kubadilisha maisha yako. Nguvu ya Cosmic Energy Cosmic Energy ni Nini? Cosmic Energy ni nguvu ya roho inayopatikana kila mahali. Wengine huiita nguvu ya Mungu, wengine malaika wa Mungu au betri za roho. Ubongo wa binadamu hufanya kazi kama receiver wa mawimbi haya. Tunapojipanga vizuri kiakili na kiroho, tunaweza kupokea Cosmic Energy kwa urahisi zaidi. Faida na Kazi za Cosmic Energy Kupandisha kiwango cha ufahamu wa mtu Kutoa maarifa mapya na msukumo wa kiroho Kusaidia uponyaji wa mwili na roho Kusaidia kuelewa umoja wa vitu vyote duniani Ishara za Kupokea Cosmic Energy 1. Msukumo wa Ghafla Unapopata msukumo wa ghafla wa kufanya jambo jema, hiyo ni ishara ya kupokea Cosmic Energy. 2. Ndot...